Wakazi katika kaunti ya Kwale walalamika kuwa mabwanyenye wamejipatia hatimiliki

  • | Citizen TV
    129 views

    Wakazi wa Mvumoni na Mwakamba eneo la Diani kaunti ya Kwale wamelalamikia hatua ya mabwanyenye wanaojipatia hatimiliki ghushi ya baadhi ya ardhi katika eneo hilo hata kabla shughuli za usorovea kukamilika.