Wakazi katika kaunti ya Taita Taveta wamtaka Rais kushusha kodi

  • | Citizen TV
    188 views

    Wakazi wa kaunti ya Taita Taveta wanamtaka Rais William ruto kutafuta njia mbadala za kugharamia miradi ya serikali ili wakenya wasitozwe ushuru zaidi. Hii ni kutokana na changamoto ya kupanda kwa gharama ya maisha. Haya ni huku viongozi wa UDA katika wadi ya Marungu eneobunge la Voi wakiwataka wananchi kuipa serikali muda zaidi huku wakisema ushuru unaopendekezwa utawasaidia wananchi.