Wakazi kupokea ushauri kutoka kwa mawakili eneo la Tana River

  • | Citizen TV
    104 views

    Kwa muda mrefu Wakaazi wa eneo bunge la Bura, kaunti ya Tana River wamekuwa wakishindwa kesi zao mahakamani kutokana na gharama kubwa ya kufuatilia kesi hizo.