Wakazi kutoka mji wa Kitale walilia fidia ya ardhi yao iliotengwa kwa ujenzi wa barabara

  • | Citizen TV
    476 views

    Wakazi waliohiari kutoa ardhi yao ili kufanikisha ujenzi wa barabara kuu kutoka mji wa kitale hadi eneo la Suam kwenye mpaka wa Kenya na Uganda, wanalalamikia kucheleweshwa kwa ridhaa ya shilingi bilioni moja, miaka mitano baada ya mradi huo kukamilika. wakazi hao wanasema ni pesa kidogo pekee iliyotolewa kuwafidia ilhali waathiriwa 3800 wanataabika.