Wakazi Laikipia wajenga barabara

  • | Citizen TV
    192 views

    Wakazi wa eneo la Matanya kaunti ya Laikipia wameamua kujitolea na kujenga barabara ya kutoka Nanyuki kwelekea matanya wakidai kusahaulika na serikali.