19 Aug 2025 1:34 pm | Citizen TV 694 views Duration: 3:08 Wakazi wa eneo la Matanya kaunti ya Laikipia wameamua kujitolea na kujenga barabara ya kutoka Nanyuki kwelekea matanya wakidai kusahaulika na serikali.