Wakazi Malkloro wakadiria hasara kubwa kutokana na ubovu wa barabara ya kutoka Njukini hadi Taveta

  • | Citizen TV
    447 views

    Wakazi wapatao 4,000 kutoka kijiji cha Malkloroti wadi ya Mahoo eneobunge la Taveta kaunti ya Taita-Taveta wanaendelea kuhangaika kutokana na ubovu wa barabara ya kutoka Njukini hadi Taveta. Wakulima na wafanyabiashara wanaendelea kukadiria hasara kwa kukosa kufikisha mazao na mizigo yao sokoni