Wakazi na wafanyabiashara wanalalamika na hali mbaya ya barabara Lamu

  • | Citizen TV
    503 views

    Wakaazi na wafanyabiashara katika kaunti ya Lamu wanalalamikia kutelekezwa kwa barabara kuu ya Lamu -Witu - Garsen lililoharibiwa na mafuriko mwaka jana. Barabara hiyo haijakarabatiwa hadi leo. Wakazi wanahofia kuwa huenda hali ikawa mbaya zaidi sasa ambapo kuna tahadhari ya mvua na mafuriko.