Wakazi Nakuru walalamikia mauaji ya mwenzao anayedaiwa kurushwa ziwani na maafisa wa KWS

  • | KBC Video
    25 views

    Wakazi wa wadi ya Baruti, kaunti ya Nakuru wanalalamikia kile wanachokitaja kuwa mauaji ya mwanamume wa umri wa miaka 18. Wamedai kwamba maafisa wa shirika la huduma kwa wanyama pori walimrusha mwanamume huyo ziwani Nakuru kwa madai ya uvuaji samaki kinyume cha sheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive