Wakazi Ndenderu walalamikia uchafuzi wa mto Karura na maradhi

  • | NTV Video
    478 views

    Wakazi wa wadi ya Ndenderu eneo bunge la Kiambaa kaunti ya Kiambu, wanalalamikia uchafuzi wa mto Karura ambao ni tegemeo la wengi, na watu wasiojulikana huku wakisema wako hatarini ya maradhi ambayo hutokana na maji taka endapo hatua ya dharura haitachukuliwa na idara husika.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya