Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Angata Barrikoi Transmara waandamana wakitaka haki ya Johana Kamilan

  • | Citizen TV
    4,546 views
    Duration: 1:25
    Wakaazi wa Ang'ata Barrikoi Transmara kusini, kaunti ya Narok, wameandamana hadi kituo cha polisi cha Oldonyo-orok wakitaka serikali kueleza aliko mwanaharakati Johana Kamilan.