- 226 viewsDuration: 1:36Matumaini ya usalama wa kudumu kati ya jamii ambazo zimezozana kwa takriban miaka hamsini eneo la Transmara Kusini yamefufuliwa baada ya wahusika kuapa kudumisha amani na kutoa nafasi kwa serikali kugawa mashamba eneo hilo la utata.