Wakazi wa Asembo huko Rarieda watumia nishati ya jua kuchumia riziki

  • | Citizen TV
    486 views

    Katika kaunti ya Siaya, wenyeji wa eneo la Asembo katika eneo bunge la Rarieda wameanza kutumia matumizi ya nishati ya jua kujichumia riziki na kuendeleza kilimo cha kunyunyiza mashamba maji kutumia teknolojia ya nishati ya jua kuvuna maji kutoka Ziwa Victoria. Zaidi ya familia elfu tano wamefaidi kupitia mradi huu na sasa baadhi yao ni wakulima wa viazi tamu huku wengine wakifuga kuku.