Wakazi wa Athi River, Kenya walalamika kuhusu ukame na ukosefu wa maji salama

  • | VOA Swahili
    54 views
    Hakuna maji ya bomba au mfumo mzuri wa maji taka katika eneo la Athi River, karibu na mji mkuu wa Kenya, Nairobi, na ukame unafanya usambazaji wa maji safi kuwa na uhaba mkubwa na ghali kwa wenyeji. Lakini kwa wale ambao nyumba zao zimepatiwa mfumo wa kusafisha maji na makundi ya kieneo, mto wa karibu – ni mchafu, na uko katika hatari ya ukame na kwa kawaida maji yake si salama kwa kunywa – umekuwa ni rahisi na chanzo cha uhakika cha maji safi. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.