Wakazi wa Baba Dogo Nairobi waandamana dhidi ya vifo barabarani

  • | Citizen TV
    1,339 views

    Wakaazi wa mtaa wa Baba Dogo hapa jijini Nairobi wameandamana baada ya watu wawili kuaga dunia barabarani karibu na kampuni moja inayofanya ujenzi katika eneo hilo.