Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Bomet wataka daraja la Narok-Bomet lipanuliwe

  • | Citizen TV
    1,131 views
    Duration: 4:20
    Katika kaunti ya Bomet wakazi wanaomba serikali ipanue daraja linalounganisha Narok na mji wa Bomet katika mto Nyangores kwani mara kwa mara mto huo unapovunja kingo zake watu wengi hutumbukia. Kwa siku tatu maafisa kutoka kitengo cha dharura kutoka kaunti hiyo wamekuwa wakitafuta mwili wa mwanamme mmoja ambaye alitumbukia mtoni kutokana na mvua inayoendelea kushuhudiwa katika eneo hilo