- 370 viewsDuration: 59sHuku mvua nyingi ikiendelea kushuhudiwa kote nchini,wafanyabiashara kutoka mji wa Bomet wanalalamikia mfumo mbaya wa mifereji ya majitaka ambao umewatatizia biashara zao. wanasema kuwa kunaponyesha maji huingia ndani ya maduka yao na vidimbwi vya maji vinakwamiza shughuli za biashara. Wakazi hao wanaomba kitengo kinachoshughulikia maji na usafi wa mji huo kuchukua hatua ya dharura..