Wakazi wa Boni, Lamu walalamikia uhaba wa chanjo dhidi ya Covid-19

  • | KBC Video
    Wakazi wa Boni katika kaunti ya Lamu wameibua wasiwasi kuhusiana na uhaba wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa COVID-19. Wakazi hao wametoa wito kwa serikali kuingilia kati na kutoa chanjo zaidi katika sehemu kuhakikisha wakazi hao wamechanjwa kabla ya tarehe 21 Disemba . Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #ThisIsKBC #News