Wakazi wa Bumula waingia walalamikia mauaji ya mlinzi takriban mita 50 tu kutoka kwa polisi Bungoma

  • | NTV Video
    2,359 views

    Shughuli za kawaida za uchukuzi zimekatizwa kwa muda katika soko la Kimaeti, eneo bunge la Bumula, baada ya bawabu moja kuuwawa usiku wa kuamkia Jumanne, takriban mita hamsini kutoka kituo ya polisi, mwanahabari wetu Judith Cherono Omondi anasimulia....

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya