Wakazi wa Bungoma walalamikia changamoto

  • | Citizen TV
    195 views

    Tukielekea katika kaunti ya Bungoma, baadhi ya wagonjwa na madaktari Katika hospitali ya rufaa ya Bungoma wameelezea hisia mseto kuhusu utekelezaji wa bima mpya ya matibabu ya SHA Mwezi mmoja tangu kuzinduliwa.