Wakazi wa chaani Mombasa wapinga ujenzi wa kiwanda

  • | Citizen TV
    302 views

    Ujenzi wa kiwanda cha gesi eneo la chaani changamwe kaunti ya Mombasa umepata pingamizi kutoka kwa wakazi wanaosema unahatarisha maisha yao. Wakaazi hao wanapendekeza mradi huo kuekezwa katika eneo la kibiashara la dongo kundu badala ya eneo la makazi.