9 Dec 2025 10:44 am | Citizen TV 674 views Duration: 2:04 Baadhi ya wakazi wa Diani Kaunti ya Kwale wanaodai kudhulumiwa ardhi zao miaka ya 80 wanataka serikali kuharakisha kutimiza ahadi yake ya kurejesha ardhi zilizosalia ambazo zinatumiwa na mabwanyenye.