Wakazi wa Eldoret waandamana kupinga ada mpya

  • | Citizen TV
    649 views

    Wakazi jijini Eldoret hii leo wanaandamana kupinga kupandishw akwa ada ya maji kwa asilimia 300 na kampuni ya usambazaji wa maji ELDOWAS.Wakazi eldoret wameshangazwa na jinsi kampuni ya kusambaza maji imeongeza bei ya maji bila kuhusishwa.