14 Oct 2025 1:15 pm | Citizen TV 18 views Wakazi wa Ebuyangu eneo bunge la Emuhaya kaunti ya Vihiga wanaishi kwa hofu baada ya mwenyekiti wa nyumba kumi kuvamiwa na kuuwawa kinyama alfajira ya jumamosi alipokuwa anauza maziwa.