Wakazi wa Endebess wataka serikali kuchukulia wakadarasi waliochimba visima vitano eneo hilo hatua

  • | Citizen TV
    256 views

    Wakazi wa kijiji cha Kundos eneobunge la Endebess kaunti ya Trans Nzoia wanaitaka serikali kuwachukulia hatua wakandarasi waliochimba visima vitano eneo hilo. Wanasema visima hivyo vilivyochimbwa kati ya mwaka 2016 na 2021, na kutumia mamilioni ya pesa vimesalia magofu.