Wakazi wa eneo bunge la Rurii wameshutumu utawala wa eneo hilo kwa kutokabiliana na pombe haramu

  • | KBC Video
    8 views

    Wakazi wa eneo bunge la Rurii katika kaunti ya Nyandarua wameshutumu utawala wa eneo hilo kwa utepetevu katika kukabiliana na matumizi ya dawa za kulevya na unywaji pombe haramu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #Kenya #News