Wakazi wa eneo la Marakusi wajichukulia sheria mikononi na kuwauwa washukiwa wawili wa wizi

  • | West TV
    262 views
    Washukiwa wawili wa uhalifu wameuawa na wananchi wenye hamaki mapema alhamisi hii kufuatia jaribio la wizi katika eneo la panpaper kata ya marakusi kaunti ndogo ya lugari.