Wakazi wa eneo la Ngara waamshwa na mlipuko mkubwa wa moto katika duka la kuuza mitungi ya gesi

  • | K24 Video
    112 views

    Wakazi wa eneo la Ngara karibu na jiji la Nairobi leo waliamshwa na mlipuko mkubwa na moto mkubwa katika duka la kuuza mitungi ya gesi katika barabara ya Desai. Tukio hilo la saa kumi na moja alfajiri limewaacha wafanyibiashara wengi wakikadiria harasa ya mamilioni ya pesa huku wakaazi kadhaa wakiachwa bila makao.