Wakazi wa eneo la Olopito wafunga barabara ya Narok-Nakuru

  • | Citizen TV
    396 views

    Shughuli za usafiri zilisitishwa kwa zaidi ya saa tatu katika eneo la Olopito kwenye barabara kuu ya Narok kwenda Nakuru baada ya wamiliki wa magari na wananchi kuifunga wakilalamikia mashimo yanayosababisha ajali.