Wakazi wa Eshisiru wakataa mkutano wa kutoa maoni kuhusu Bajeti ya Kakamega

  • | West TV
    61 views
    Kikao cha kukusanya maoni ya umma kuhusu makadirio ya bajeti ya miaka ya kifedha ya 2024/2025 na 2026/2027 kilichoratibiwa kufanyika alhamisi hii eneo bunge la lurambi kilitatizika kwa muda waliofika kushiriki wakidai kuwa hawakupewa nakala za yaliyopaswa kujadiliwa