Wakazi wa Ganahola waishi kwa hofu ya maporomoko ya ardhi

  • | NTV Video
    25 views

    Tuungane na mwanahabari wetu Fatuma Bugu kuhusu taarifa aliyofanya ya wakazi wa Ganahola, mikindani kaunti ya Mombasa wanaoisihi kwa hofu ya kuangamia sio tu kwa maisha yao bali hata eneo waliloliita nyumbani kwa miaka mingi kutokana na maporomoko ya ardhi.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya