Wakazi wa Gataka walalamikia hali mbaya ya barabara

  • | Citizen TV
    68 views

    Barabara ya Gataka katika Ongata Rongai imegeuka balaa kwa wakazi na wamiliki wa biashara baada ya mradi wa ujenzi kusimama ghafla.