Wakazi wa Gikumari Ruiru wawatoa mbio wafanyikazi wa matinga ya barabara

  • | K24 Video
    92 views

    Mzozo kuhusu ardhi ya kifahari huko Ruiru, kaunti ya Kiambu unaohusisha familia 3000 na mwekezaji wa biashara binafsi asiyejulikana umeshudiwa eneo hilo, baada ya wakazi wenye hasira kuwafukuza wafanyakazi wa matinga ya kukarabati eneo hilo. Wakaazi hao wamesema kuwa wameishi miaka 40 katika ardhi hiyo iliyoko eneo la gikumari huku wakiitaka serikali kuingilia kati ili makao yao yasinyakuliwe.