Wakazi wa Goma wafundishwa jinsi ya kukabiliana na volcano

  • | VOA Swahili
    98 views
    - - - - - Tuelekee Goma, DRC ambako shirika lenye kuhusika na uangalizi wa Volcano OVG limefungua kituo kwa ajili ya kuwafunza vijana wanafunzi na wakazi wengine madhara na namna ya kujikinga na Volcano katika eneo ambalo limekuwa likikumbwa na tatizo la milipuko ya Volcano mara kwa mara.