Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wazungumzia bidhaa kutoka China

  • | VOA Swahili
    167 views
    Mwanahabari wetu nchini Tanzania Idd Uwesu leo hii amezunguka mitaa ya jiji la Dar es salaam kuangazia utitiri wa bidhaa kutoka China na wananchi wanasemaje kuhusu bidhaa hizo. Tutazame taarifa yake. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.