27 Feb 2026 1:21 pm | Citizen TV 535 views Duration: 1:40 Wakazi wa eneo la Kabiru mjini Nanyuki wamelalamikia shughuli za uchimbaji wa kokoto zinazoendelea karibu na makazi yao wakisema zimewasababishia hasara kubwa