Wakazi wa Kajiado wahimizwa kujisajili kwa bima ya afya ya SHA

  • | Citizen TV
    174 views

    Huku taifa Likijiaanda kuanza kutekeleza matumizi ya bima mpya ya Afya ya SHA , Wizara ya afya katika kuanti ya Kajiado inawahimiza wakazi wake kuendelea kujisajili na bima hiyo mpya ili wanufaike na matibabu baada ya NHIF kufutiliwa mbali. Waziri wa afya kwenye kaunti hiyo Alex Kilouwa anasema huduma zote zilizokuwa zikitolewa kupitia Kwa bima ya NHIF sasa zitahamishiwa kwenye bima hiyo mpya, na sasa ni sharti wananchi wote wahamie bima hiyo mpya ili waendelee kunufaika na huduma za matibabu katika kaunti hiyo ya Kajiado.