Wakazi wa Kakamega wafurushwa kutoka nyumba zinazomilikiwa na serikali

  • | NTV Video
    328 views

    Wakazi ambao wamekuwa wakilipa na kuiishi kwa nyumba zinazomilikiwa na serikali katika kaunti ya kakamega kwa miaka,wamefurushwa kwenye nyumba hizo kwa madai kuwa wamekuwa wakiishi kwa nyumba hizo kinyume cha sheria.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya