Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kakamega walalamikia toroli zinazobeba maiti wakisema zinawatia wasiwasi wagonjwa

  • | NTV Video
    2,105 views
    Duration: 3:06
    Wakazi wa Kakamega wapaza kilio chao kuhusu toroli za hospitali ya rufaa ya Kakamega zinazotumiwa kubeba maiti kutoka vyumba vya magonjwa. Wasema toroli hizo hutoa mlio unaowatia wasiwasi wagonjwa waliolazwa na kuchangia vifo vyao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya