Wakazi wa Kakamega wanaambiwa kuepuka kuku zenye kemikali, wakulima waingia kilimo cha samaki

  • | NTV Video
    130 views

    Eneo la magharibi ambalo limetambulika sana kwa ufugaji wa kuku kama nyama sasa wakulima wamegeukia kilimo cha samaki na kuwarai wakazi wa kaunti ya Kakamega kuepukana na kuku wanaodaiwa kuwa na kemikali zinazochangia magonjwa.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya