Skip to main content
Skip to main content

Wakazi wa Kapenguria wafunzwa kutunza kinywa

  • | Citizen TV
    266 views
    Duration: 1:30
    Huku ulimwengu ukiadhimisha siku ya afya ya kinywa duniani, wataalamu wa afya ya kinywa katika kaunti ya Pokot Magharibi wameandaa mafunzo maalum kwa wakazi wa eneo hilo, ili kuwaelimisha kuhusu afya ya kinywa pamoja na mbinu sahihi za kutunza meno