Wakazi wa Kaskazini wasusia chanjo ya HPV

  • | Citizen TV
    263 views

    Takriban miaka mitano tangu chanjo ya HPV kuanza kutolewa humu nchini idadi ya watoto ambao wamepata chanjo hiyo kaskazini mwa nchi ni chini ya asilimia kumi.