28 Aug 2025 1:08 pm | Citizen TV 775 views Duration: 1:58 Hii ni baada ya kijana mmoja mfanyakazi wa nyumbani kuuawa na wahuni wiki jana.wakazi wanasema magenge ya wezi yanaletwa kwa malori ya kubeba mchanga usiku na kuwaibia.