Wakazi wa Kaunti ya Bungoma kufaidika na ukarabati

  • | Citizen TV
    278 views

    Kuzinduliwa rasmi kwa ukarabati wa barabara tano za wadi ya Khalaba, eneo bunge la Kanduyi, kunatarajiwa kurahisisha shughuli za usafiri kwa wakazi wa eneo hilo