Wakazi wa kaunti ya Bungoma kuvuna kimaendeleo kabla na baada ya sherehe za madaraka

  • | West TV
    166 views
    Serikali ya kitaifa imeratibu kuendesha ukarabati wa baadhi ya barabara katika kaunti ya bungoma mbali na ujezi wa uwanja wa ndege wa matulo kwenye eneo bunge la webuye magharibi kabla ya maadhimisho ya sherehe za kitaifa za siku kuu ya madaraka huku waziri wa uchukuzi na barabara kipchumba murkomen akisisitiza umuhimu wa uwanja huo wa ndege wa matulo