Wakazi wa kaunti ya samburu wasifia utoaji huduma katika kituo cha huduma eneo hilo

  • | Citizen TV
    130 views

    Wakazi wa kaunti ya samburu wamesifia utoaji huduma katika kituo cha huduma eneo hilo wakitaka huduma zaidi za serikali kuwezeshwa kupatikana katika vituo hivyo. wakazi hao wanasema kufunguliwa kwa vituo vya huduma kuwapunguzia safari za kusaka huduma za serikali katika maeneo ambayo yalikuwa makao makuu ya maeneo.