Wakazi wa kaunti ya Vihiga walijitokeza kuadhimisha siku ya afya duniani

  • | West TV
    38 views
    Uukosefu wa ufahamu, mila, tamaduni na malezi ni baadhi ya maswala yanayochangia kuongezeka kwa mimba za utotoni, dhulma za kijinsia na maambukizi ya virusi vya ukimwi katika kaunti ya Vihiga na ulimwengu unapoadhimisha siku ya afya duniani chini ya kauli mbiu afya yangu, haki yangu, wito umetolewa kwa vitengo vyote kushirikiana kukabili visa hivi.