Wakazi wa kaunti za Kajiado na Makueni wasaidiwa

  • | Citizen TV
    146 views

    watoto zaidi ya mia tano kaunti za Makueni na Kajiado watapewa chakula cha virutubisho kwa kipindi cha miaka miwili ijayo katika harakati za kukabiliana na tatizo la utapiamlo ambalo limekithiri kwenye kaunti zenye ukame.