Wakazi wa Kawangware watoa maoni kuhusu mswada wa fedha wa 2024

  • | Citizen TV
    192 views

    kamati ya bunge la kitaifa kuhusu bajeti inafanya vikao vya kukusanya maoni ya wananchi kuhusu mapendekezo ya bajeti ya mwaka 2024/2025. vikao hivyo vinaendelea hapa jijini nairobi katika maeneo ya Dagoretti south na Embakasi. Mwanahabari wetu ben kirui anahudhuria vikao hivyo lakini kwa sasa tusikize yanayojiri.