- 714 viewsDuration: 3:26Wakazi wa kata ya Kawap Samburu Kaskazini, wamelalamikia ongezeko la utovu wa usalama tangu kuondolewa Kwa maafisa wa polisi wa akiba waliokuwa wakipiga Kambi eneo hilo. sasa wameirai serikali kuwarejesha maafisa hao kuendelea kushika doria